Msanii wa muziki Ruby amefunguka kuzungumzia tuhuma ambazo zinasambaa katika mitandao ya kijamii kuwa ana mimba ya Alikiba.
Ruby amewaeka wazi kuwa ujauzito alionao si wa alikiba na kusema izo ni habari za instagram si zakweli huwa anaona kama instagram ni ulimwengu mwingine nakusema kuwa muda ukifika ataweka wazi juu ya ujauzito huwo.
Ruby alifunguka pia kuhusu ukimya wake wa muda mrefu kukaa bila kuto ngoma na aliwahaidi wa haidi mashabiki kuwa mwezi wa nane-8 hautoisha atakuwa ameachia nyimbo yake mpya rubi alisema haya kupitia Bongo5tv
0 comments:
Post a Comment