“Kwenye hip hop ukishapanga kufanya kolabo na mtu na mmeshapanga inatoka hata kama kakuchana inabidi uitoe, kufuta mstari wa mtu ni kosa,” amesema Fid Q.
“Kwa hiyo bado nasisitiza alichofanya Baba Tiffah kwenye Fresh ni kitu sahihi kwa sababu zile ni hisia zake za maisha yake ya kila siku, ni kitu sahihihi wala siyo taarabu,” ameongeza.
Fid Q ameongeza kuwa si kweli amefanya hip hop kuwa taarab bali taarab ndio inakopi hip hop ambayo ni kubwa zaidi ya maisha yenyewe.
0 comments:
Post a Comment