Serikali yadhamiria kufanikisha utafutaji na upatikanaji wa mafuta bonde la Eyasi Wembere
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amesema serikali ipo tayari kutekeleza shughuli zote zitakazowezesha kupatikana kwa mafuta katika Bonde la Eyasi Wembere na Ziwa Tanganyika.
0 comments:
Post a Comment