“Mwaka 2017 wasanii wengi wa hip hop wamefanya hip hop fulani za kawaida sana, siwezi hata nikaita hip hop wapo wachache ambao wameendelea kuwepo kwenye uhalisia lakini wengi ambao hata tulikuwa hatajawategemea wameanza kufuata mkumbo na wameanguka” amesema Kala Jeremiar.
“Ningeomba mwaka 2018 wasanii wa hip hop hata kama tunachanganya tusisahau utamaduni wa hip hop kwa sababu ni muziki wa msingi katika muziki wowote tunaoufanya Tanzania” ameongeza.
Kala ameendelea kwa kusema kuna wasanii walikuwa wanakuja na uwezo mkubwa wa kuchana lakini nao mwaka 2017 wamepiga vitu fulani laini.
0 comments:
Post a Comment