Thursday, 15 June 2017

Davido amewapa mashabiki wake ugonjwa wa moyo ghafla.

Davido amewapa mashabiki wake ugonjwa wa moyo ghafla. Ni kweli msanii huyo anakuja na remix aliyofanya na Robert Kelly wa Marekani?
.
.
Basi kama hujui hilo unatakiwa kuamka kwenye huo usingizi mzito uliopo. Baada ya wimbo wake wa ‘If’ kutazamwa zaidi ya mara milioni 20 kwenye mtandao wa YouTube tangu alipouachia mwezi February mwaka huu, muimbaji huyo wa Nigeria ameonyesha kuwa kuna remix ya wimbo huo ambayo amefanya na R Kelly.
“Who’s ready????,” ameandika Davido kwenye picha hiyo hapo juu aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram. Hizi ni baadhi ya comment za mashabiki kwenye mtandao huo baada ya kuuona ujumbe huo.

0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top