Wednesday, 21 June 2017

DIAMOND KUJA NA NGOMA MBILI KWA WAKATI MMOJA

DIAMOND PLATINUMZ C.E.O WA W.C.B. Licha ya ujio wa ngoma zake mbili FIRE na I MISS YOU  amezungumzia ujio wa rayvanny na harmonize



baada ya ukimya wa muda mrefu diamond leo hii majira ya alasiri ameachia ngoma mbili kwa wakati mmoja, msanii huyo ambae alikua akifanya kazi ya kupush kazi za vijana wake wa W.B.C  rich mavoko, harmonize, pamoja na rayvanny. diamond akihojiwa leo ndani ya kituo cha redio cha @cloudz fm alisema "lengo la kukaa kimya ilikua ni kupush kazi za vijana wangu hata hivyo kama unavyoona rayvanny yupo kwenye tuzo za BET na rich mavoko na haronize  SHOW ME imekua imekua ikifanya vizuri ndani ya afrika mashariki''  diamond alizitaja ngoma zake hizo mpya kwa majina ya FIRE na I MISS YOUna zote zikiwa audio na video. Ngoma ya I MISS YOU ambayo ilikua ishatoka muda ila sasa hivi ameitolea video official na kuifanyia mabadiliko ndani ya verse ya pili. 



Diamond pia alihojiwa kuhusiana na swala la picha ya zari ndani ya bwawa la kuogelea akiwa na mwanaume mwingine. Diamond alikua na haya ya kusema ''kwanza baada ya kuona zile picha nilijua ni watu wa mitandao kama kawaida yao wamefanya edit, ila baada ya kuiangalia kwa umakini iliniuma sana nkampigia simu zari akawa kama anajitetea hivyo niliamua kupost vile, baada ya kupost nilipokea simu kutoka kwa wasanii mbalimbali wengi wakinishauri. ila baada ya kuongea na mama tee [ZARI] alinielewesha nilijisikia vibaya kuona nimekosea nilipoa kama nimemwagiwa maji vile''
  .                                                                                                                                                             ...........  

C.E.O. Uyo wa W.C.B. aliweka wazi ujio wa Harmonize kuja na studio yake diamond alisema hii ni plan ya kufikia vipaji vingi vyavijana wenye vipaji ambao nawao wanatamani sikumoja kuja kuwa wasanii wakubwa Tanzania na nje ya nchi pia sio kwa Harmonize pekee ata Rayvany pia atatambulisha yake mudaukifika.


Hata hivyo D.mond alizungumzie  Tofautizake yeye na Q BOY ambae inasemekana alifukuzwa W.C.B. na DIAMOND aliweka wazi ili leo ndani ya kipndi cha @XXL CLOUDSFM nakusema  Q boy hakufukuzwa bali alipewa adhabu yakusimamishwa kwa muda ila yeye kipindi yupo kwenye adhabu hyo aliamuakufanya mamboyake kama kuachia ngoma yake na kuzunguka kwenye Redio nakuitangaza vibaya W.C.B nikitendo ambacho sikipendi na kama ameamuakujitoa W.C.B. nakuamua kufanya mambo yake binafsi afanye ila sio kututangaza vibaya kwani nikisema Nivue uchibu alafu nivae UNASIBU yatayotokea hapo sio nacho kiomba kama ameamua kufanya yake afanye yake nasio kuitangaza vibaya W.C.B. Alimalizia na kusema hvyo Diamond Q boy kipaji chake kipo kwenye mavazi nilikuwa nikkimshauri afanye kitu kitakacho husisha mavazi  na Qboy angefanya hvyo angefika mbalisana kwani mi naamini Q boy sio kipaji chake sio kwenye muziki.

Q BOY MSAFI

0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top