Mtandao wa Showbiz umeripoti kuwa mwanamuziki Beyonce ambaye ni mke wa Jay Z, mapema wiki hii alijifungua watoto mapacha. Bado hatujajua majina halisi ya watoto hao. Jay z mtu wa matukio sana pindi beyonce alipojifungua alimpatia zawad ya kisiwa, sasa hawa ni mapacha tutegemee zawadi gani Jigga atampatia mama wa watoto wake
Matukio yotr hayo yatakujia hapa ndani ya blogg yetu

0 comments:
Post a Comment