Usiku wa jana mrembo huyo aliandika katika mtandao huo wenye watumiaji wengi zaidi dunia kuhusu mapenzi jambo liliwafanya mshabiki zake kuhisi huwenda bibie amepata mpenzi mpya.
“Mapenzi ni nini kwani pamoja na yote lkn m2 unarudi pale pale haya mambo ayajawah kumuacha m2 salama basi natamani kupost ata kifua
Nashindwa naogopa
#why? Why?,” ameandika Wolper.

0 comments:
Post a Comment