Wednesday, 21 June 2017

Mwana FA" Kutoa albamu wakati hamna biashara ni vigumu.

Rapper  uyo ameeleza kutoa albamu wakati hamna biashara ni vigumu ingawa hicho ni kipimo cha wasanii kukua.


"Hatufanyi kwasababu yakujifurahisha,kama haileti pesa inakuwa ngumu kufanyika,so nafikiri kuwepo na namna yakutumia hizi teknolojia tulizonazo kkuhakiisha albamu zinauzika, Mwana fa amekiambia kipindi cha XXL cha CLOUDS FM "Hivi vilikuawa vinafanyika miaka kadhaa iliyopita mimi ninavyoona wasanii hawaulizwi una nyimbo ngapi,haijawahi kutokea hivyo, muziki wakomuzikiwako unatambulika kwa kufahamika msanii huyo ana albamu ngapi pia nafurahi mwaka huu wasanii baadhi wamejaribu kutoa albamu wasanii kama Navy Kenzo na wengine wanatengeneza albamu zao ni dalili nzuri,"

0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top