Saturday, 17 June 2017

Nijinsigani Tunaweza kupunguza 'TUMBO'



Zoezi la baiskeli-Hili husaidia kukata tumbo sehemu ya chini na juu.
unachotakiwa kufanya ni kulala chali.Kisha chukua mikono shika kichwani kwa nyuma upande wa kisogoni. Wakati umelala kunja miguu yako na kisha jinyajnyue hadi kujikunja mfano wa 'C' iliyolalia mgongo.Fanya hvyo mara 12 hadi 16.
Kila siku kama yaleo nitakuwa nikikujulisha ni jinsigani 2naweza kupiga vita kitambi Ntakujulisha jumamosi nyingne namna ya kufanya ZOEZI LA ''SIT UPS.
.
.
JIUNGE NAMI KUPITIA BLOGG SPORT KUANZIA SASA KWAJINA ILI La_mbegu0416 UNAWEZAKUIPATA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia BLOGG SPORT, ili kupata habari zote za town.

0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top