Bajaj ilianza kufanya vizuri tangu tulipotoa Albam na tunashukuru Bajaj inafanya vizuri pande za nigeria kwenye baadhi ya redio ina fanya vizuri pia tunawashkuru watanzania kwa kuipokea Bajaj na kusaport pia Bajaj tulishoot maeneo ya #SOWETO na Directer JUSTIN COMPOS
Video ya NavyKenzo ft Patoranking unaweza kuitazama sasa.

0 comments:
Post a Comment