Usiku wa July 6 2016 muimbaji mkongwe Saida Karoli anafanya show yake ya kihistoria katika maisha yake ya muziki ya kusherehekea kutimiza miaka 15 ya Saida Karoli toka alipoingia katika muziki.
BEN POL AKIWA KUSHOTO NA ASTERIA MVUNGI WA-TZA KATIKATI KULIA KWA AKIWA NI EBITOKE.
Show imehudhuriwa na mastaa mbalimbali na miongoni mwa mastaa waliohudhuria show hiyo ni muimbaji Benpol ambaye aliambatana na mchekeshaji Ebitoke
Ben Pol akiwa kwenye Red Carpety na Ebitoke, Ben Pol", Najiskia vizuri kuwa na Ebitoke na kusema tangu marayakwanza ameonana nae ulikkuwa niwasaa mzuri na pengine ni mwanzo wa mambo mengi mazuri na kusema Ebitoke ana vitu vyote vizuri". Alisema Ben Pol
Na Ebitoke alisema tangu mara yakwanza ameokutana na ben pol na kutaja vitu anavyo vikubali kutoka kwake," Napenda kwanza ANABUSARA,MPOLE,ANAHESHIMA NI MPOLE MNYENYE KEVU HANA DHARAU KWA MTU YOYOTE.

0 comments:
Post a Comment