Selena ambaye ni miongoni mwa staa namba moja analipwa pound 425400 ambazo ni zaidi ya Tsh Bilioni 1.2, kwa upande wa Ronaldo ambaye ni namba tatu analipwa pound 309382 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 800.
Thursday, 6 July 2017
Instagram sio tena sehemu ya kupost picha pekee kwaa sasa unawaingizia pesa nyingi baadhi ya mastaa duniani.
Kama tunavyo ona kwa Tanzania baadhi ya mastaa kutumia vizuri mtandao huo wa Instagram kwa kupost Habari leo tutaweza kuona mastaa 10 wanao ingiza pesanyingi duniani kwa kupitia mtandao wa Instagram
Staa wa soka Cristiano Ronaldo na muimbaji Selena Gomez na Kim Kardashian ndio mastaa pekee wanaolipwa pesa nyingi kwa post moja ya tangazo instagram.


0 comments:
Post a Comment