Saturday, 15 July 2017

Msanii wa Muziki kutoka Naigeria Davido apata mtoto

Davido, ana watoto wawili, lakini wengi walikuwa hajaona sura ya mtoto wake wa pili Hailey.
Davido amewashtua mashabiki wake baada ya kuweka picha ya mtoto wake huyo katika akaunti yake ya Snapchat.
Mtoto huyo alivalishwa gauni rangi nyeupe mchanganyiko na kuwekwa maua kichwani, jambo ambalo liliwavutia mashabiki wake wengi.

0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top