'Cheche' ipo tayari muda mrefu na kama mambo yatakwenda sawa basi ataachia wimbo huo wiki ijayo Ommy amefunguka ilikupitia kipindi cha 'Bongo Flava Top 20' kinachorushwa na East Africa Radio
Aidha Ommy Dimpoz amewatoa wasiwasi mashabiki wake kwa kusema ''video nilifanya kitambo toka mwezi wa Ramadhan lakini nilitaka kupima uzito wa 'Audio' nione je kweli watu wanapenda 'Video' kuliko 'Audio' so nilichigundua sasa ukiweka nguvu kubwa katika kufanya 'Audio' nzuri basi kazi itafanya vizuri tu kama ambavyo kazi yangu inafanya vyema saizi kwa sababu niliwekeza nguvu kwenye 'Audio' na ikitoka Video ndiyo kwanza itakuwa ngoma kama ni mpya" alisisitiza Ommy Dimpoz
0 comments:
Post a Comment