Nandy amefunguka nakuweka wazi kuwa hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na Bill Nass
Nandy akiwa kwenye mahujiano ndani ya kipindi cha XXL Jul.14.2017 nakufunga haya>>>
"Kiukweli mimi sina mahusiano na Billnass naomba watanzania na mashabiki wa nandy watambue hilo mimi nina mahusiano yangu na pia namshukuru mungu kwa hilo" Alisema Nandy

0 comments:
Post a Comment