Msanii Wiz Kid kutoka Nigeria mbioni kuachia project yake mpya mwezi huu ifikapo tarehe 14, project hiyo inayoitwa “Sounds From The Other Side” (SFTOS) itakuwa na ngoma zisopungua kumi na mbili.
.
.
Kupitia mtando wa Instagram ameshare cover ya project yake hiyo itakayo kuwa na ngoma kama ‘Dirty Wine, One For Me, Gbese ngoma ambayo amemshirirkisha Trey Songz.


0 comments:
Post a Comment