Saturday, 16 September 2017
Diamond Ball 2017 Hivi ndivyo mastaa walivyotokelezea
Sherehe ya Diamond Ball 2017 inayohusika na taasisi ya Clara Lionel yenye lengo la kusaidia jamii katika nyanja mbalimbali, ilifanyika alfajiri ya tarehe 15 mwezi huu katika ukumbi wa Cipriani Wall Street mjini New York City. Nailiudhuriwa na mastaa kadha kama Beyonce, Jidenna, Kendrick Lamar, Future, Trevor Noah,Young Thug, Lil Kim, na wengineo, na hivi ndivyo mastaa hao walivotokelezea.
















0 comments:
Post a Comment