Saturday, 16 September 2017
Nicki Minaj kwenye Birthday ya rapa Nas
Nicki Minaj na Nas wamekuwa miongoni mwa wasanii wanaosemwa kuwa ni wapenzi na hivi karibuni baada ya Nicki Minaj kuonekana kuwa karibu na NAS, stori hizi zimeibuka upya
Rafiki wa Nicki Minaj na Nas amesema wasanii hawa bado ni marafiki wazuri, Nicki Minaj yuko SINGLE Kwa sasa na Nas ana mpenzi wake.
0 comments:
Post a Comment