Saturday, 25 November 2017

Hii Ndio Albamu Mpya ya MAFIKIZOLO

Kutoka Afrika Kusini Kundi la muziki LA Mafikizolo linaloundwa na vijana wawili Theo Kgosinkwe na Nhlanhla Nciza wameachia albamu ya iitwa yo ’20’ sawa na muda walioishi katika kiwanda cha burudani duniani.


Albamu ya ’20’ kutoka kwa kundi LA MAFIKIZOLO ime beba mastaa wa kubwa wa muziki wakiwemo DJ Maphorisa, Wizkid, KLY, Yemi Alade, Jah Prayzah na wengineo wengi.


0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top