KURASA - Kukosekana kwa matuta katika barabara ya UFI ndio chanzo cha ajali nyingi
Kitendo cha kukosekana kwa matuta katika barabara ya Ufi jijini Dar es salaam kimelalamikiwa na baadhi ya madareva wa bodaboda katika eneo hilo kwamba ndio chanzo kikubwa cha ajali za mara kwa mara.
0 comments:
Post a Comment