Saturday, 2 December 2017

Humphrey Polepole: Chama chetu sio dala dala mtu anaweza kushuka na kupanda mda atakao.

Baada ya Muigizaji Wema Sepetu kutangaza kurudi ndani ya Chama Cha Mapinduzi baada ya kukihama Februari mwaka huu, Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Humphrey Polepole amesema kuwa chama hicho hakina taarifa yoyote ya kurudi kwa Wema Sepetu.
Picha inayohusiana

ALICHOKIANDIKA  Humphrey Polepole KATIKA UKURASA WAKE WA INSTAGRAM 
>>HIKI APA




0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top