
Jay-Z Kumaliza mwaka 2017,kwa kuachia video za ngoma tatu kutoka kwenye album yake ya 4.44. Video alizoziachia ni Legacy, Marcy Me na Smiles.
Tazama video ya wimbo wa Marcy Me hapa chini;
Tazama video ya wimbo wa Legacy hapa chini;
Tazama video ya wimbo wa Smile featuring Gloria Carter;
0 comments:
Post a Comment