1.Watu waliofanikiwa hunufaika katika makosa yao kwa kuwa hujaribu tena katika njia nyingine – Dale Carnegie.
2.Aliyeshindwa pekee ndio huwa hajaribu – Anna Kleimer.
3.Kushindwa ndio fursa pekee ya kuwa jasiri tena – Henry Ford.
4.Kosa kubwa zaidi ambalo mtu anaweza kutenda, ni kuhofia kufanya tena – Elber Hubbard.
5.Ni kweli siwezi kukupa njia sahihi ya mafanikio lakini nakupa njia ya kushindwa, nayo ni kurajibu kuomba samahani kwa kila mmoja – Bernard Meltzer.
6.Kushindwa ni mafanikio kama utaamua kujifunza katika hilo – Malcolm S. Forbes.
7.Hakuna kushindwa kwa yule anayefanya kilicho bora – Orison Swett Marden.
0 comments:
Post a Comment