Ikigundulika Wayne ni baba wa mtoto huyo, mama huyo atapokea dola 5000 kila mwezi na kulipwa fidia kwa muda wote aliomlea mtoto huyo bila baba.
Keiotia Watson anasema alikutana na Lil Wayne, aka Dwayne Carter, June 2001 na kujifungua mtoto wa kiume February 2002.
Watson amekuwa akiomba vipimo hivi vifanyike kwa muda mrefu sasa na inaonekana mahakama iko upande wake.
Kama “Lil Dwayne” atakuwa mtoto wa Lil Wayne , huyu atakuwa mtoto wa tano wa rapa huyu.
0 comments:
Post a Comment