Tuesday, 20 June 2017

Bill Nass: Sinatatizo na Godzilla.

Sinatatizo na godzilla kwani zilla amekuwa akinipa ushauripia nakunipigia simu kwa kusaport kilenachokifanya

 Wengi najua hawafahamu kuwa mimi na godzilla hatuna tofauti zozote mi nayeye zillah amekuwa akinshauri maranyingi mda mwingine ananipigia sim kabisa nakunambia nafanya vizuri na niendeleekujitahidi.Amesema msanii Bill Nass anae fanya vizuri na ngoma yake ya #MAZOEA

0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top