Wednesday, 21 June 2017

Dupy sina tofauti zozote na THE AMAZING

The amazing ni kundi linalo undwa na Izzo na Abela na dupy huwa ndio anawagongea bity.


THE AMAZING ila hivi karibuni kuna skendo dupy na the amazing wamegombana hivyo dupy ameweka wazi na kusema akuna tofautizozote katiyao na yeye ni storytu za kutengeneza kwan izzo nimshkaji wangu na tunafanya bashara nyingi kuacha music hvyo watu wakae wakijua hauna tofuti zozote kati yangu na #THE_AMAZING

Produser Dupy

0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top