Mchezaji wa timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo( kushoto) akiwa na mchezaji wa Mexico mchezo ulio malizika kwa droo ya magoli 2 kwa 2
Wakati huo huo michezo ya kundi B inatarajiwa kuchezwa hapo kesho kwa kuzikutanisha muwakilishi wa Afrika timu ya taifa ya Cameroon itakapocheza na Australia na huku Ujerumani ikijitupa uwanjani kuvaana na Chile
Mfumo wa video ulivyoleta sinto fahamu kwa wachezaji wa taifa ya Chile katika mchezo wao dhidi ya Cameroon
Michezo ya mwisho ya hatua hii inatarajiwa kufanyika Juni 24 ambapo mwenyeji Urusi itacheza na Mexico huku New Zealand ikicheza na Ureno.
Na katika michezo mingine ya mwisho ya kundi B itakayochezwa Juni 25, timu ya taifa ya Chile itakutana na Australia huku Cameroon wakicheza na Ujeruman ili kupata washindi watakao tinga hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo.



0 comments:
Post a Comment