Friday, 23 June 2017

Mipango ya Youngkiller Msodoki ndani ya mwaka 2017

Moja ya mipango yangu mwaka huu nikufunga ndoa na Mis Hip Hop.


Nimuda wowote kuanzia sasa nafunga ndoa na Hillmaty a.k.a Mis Hip Hop ni mwaka huu huu hata hivyo muda ukisha fika watafahamu hili siwezi kusema ni siku gani ila ni mwaka huu 2017 Young Killer nitafunga ndoa na mchumba wangu Hillmaty

0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top