Friday, 23 June 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemshukuru Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya mrisho Kikwete kwa kuanzisha mradi wa barabara.


Rais Magufuli ameyasema hayo Alhamisi hii wakati akizungumza wilayani Bagamoyo katika ziara yake ya siku tatu, mkoani Pwani.

“Lakini ndugu zangu pia napenda kwa nafasi hii kwasababu tumekuja kufungua hii barabara nitoe shukrani kwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete Rais wetu mpendwa wa awamu ya nne. Yeye ndiye alieanzisha huu mradi yeye ndiye alitafuta hela za kwanza za mradi sisi tulikuwa watumishi wake kwahiyo nampenda nimshukuru sana


0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top