Mwanaume mmoja mwenye asili ya Tanzania Omega mwaikombo (43) amehukumumiwa kwenda jela kwa miezi 3, ni baada ya kuweka kwenye mtandaoni wa facebook picha za mtu aliefariki kwa ajali ya moto nchini Uingereza kwenye jengo la Grinfell Tower.
Omega amekiri kosa hilo na kudai kuwa alifanya hivyo ili kurahisisha utambuzi wa mwili wa marehemu huyo.
0 comments:
Post a Comment