Saturday, 17 June 2017

Muimbaji staa wa muziki Nigeria Davido Kumjengea nyumba shabiki

Mwimbaji staa wa muziki Nigeria Davido amefanya kitu ambacho hufanywa na watu wachache wenye mafanikio kwa mashabiki wao baada ya kuamua kumjengea nyumba shabiki mtoto aliyeimba wimbo wake katika Jimbo la Uyo, Akwa Ibom.


Davido ambaye anaishi kwa kaulimbiu: “We rise by lifting others” akiwa na maana ‘Tunapanda kwa kuwainua wengine’ mbali na kumjengea nyumba shabiki huyo mtoto anayeitwa Utibe kwa kuimba wimbo wake wa IF, alikubali pia kugharamia elimu yake

0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top