Watuwengi hawafahamu kuwa mwanzo nilienda kupeleka wimbo wangu kwenye redio na ndio ikanifanya kuwa mtangazaji.
"Hawafahamu befor ya kuwa kwenye redio nilikua rappa nilipo peleka nyimbo yangu kwenye redio TRIPAL L.A ndipo SOFIA KESY alipo niskia nakunambia napendezea kinoma kuwa mtangazaji nanilivyo kuwa mtangazaji nilijikuta napenda sana utangazaji ikachukua sehemu kubwa yamaisha yangu kutangaza kwenye REDIO na kutangaza kwenye TV nikajikuta na sahau mambo yamuziki nakubaki kwenye utangazaji nakugundua ni kitu chenye heshima kubwa hvyo ikanibidi niipe heshima yake na TIME yake na hatahivyo nimeshakuwa BORA kweny REDIO TANZANIA ni lazima uwe tayari kupiga hatuwa kwenyemaisha hatua yangu nyingine ilikkuwa nikufunga BLOG ya burudani nilifanya hivyo FAHAMUTV.CO. napenda CHANGAMOTO kwasababu ukikutana na CHANGAMOTO alafu ukazipita unajikubali kwani inakuwa umezikomalia na umezipita Nilibadilisha SAMMISAGO TV na kuiita FAHAM TV kwasababu ya brand na biashara nimehamasikka na kushawishiwa sana na PUFF DADY ana PUFF DADY TV ana REVOLT TV hivyo kama utaanzisha kitu ambacho unataka watu waendelee kuburudika na kuenjoy atabaada ya wew kutouwepo kwenye kazi hiyo," ALISEMA SAMMISAGO

0 comments:
Post a Comment