Friday, 23 June 2017

Suala la lebo ni biashara ambayo unapaswa kuridhia na kujua maslai yako wapi.

Hitmaker wa wimbo ‘Muziki’ ameweka bayana kigezo ambacho anaangalia iwapo mtu anamuhitaji kumsainisha katika lebo.


Rapper huyo ameeleza kuwa kwanza linapokuja suala la lebo ni biashara ambayo unapaswa kuridhia na kujua maslai yako wapi.
Mtu kama mimi huwa sipiganii maslai yangu tu kwa sababu naamini ningekuwa napigania maslai yangu tu ningekuwa na mafanikio makubwa kuliko wasanii wengine wote kwa kitu ambacho nimekipata lakini huwa naangalia na watu wanaonizunguka kwa kuwa sifanyi hivi vitu pekee yangu.

0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top