Tuesday, 27 June 2017

Wema Sepetu, kuposti picha kadhaa katika mtandao wa kijamii wa Instagram kuonesha umbo lake.

Wema Sepetu, kuposti picha kadhaa katika mtandao wa kijamii wa Instagram kuonesha umbo lake, mwana dada huyo ameamua kuwajibu wale wanaodhania shepu hiyo sio yake.

Wema ambaye kwa sasa hataki kujihusisha na skendo yoyote ameandika...
.
.
Sometimes najiangalia kwenye kioo sijimalizi… Ndo majaliwa yangu… Ndo yangu basi… Imenizidia… Allah Subhanah wataallah ndo amenipa… Aaaah….!? Sio shepu ya kawaida… Niacheni na Shepu yangu jamani… Ndo nishaimiliki mie… Siwezi kuitoa…. ðŸ™„🙄🙄🙄,” ameandika mrembo huyo.

0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top