Tuesday, 27 June 2017

Dully Sykes ndiye mwanzilishi wa neno maarufu miongoni mwa vijana

 Dully Sykes ndiye mwanzilishi wa neno maarufu miongoni mwa vijana, Sharobaro lakini yeye mwenywe hajui alipolitoa.

Muimbaji Hakeem 5 ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa katika mazungumzo na Dully Sykes pamoja Bob Junior, ndipo ilitokea Dully akawaita Sharobaro kutokana walikuwa wanapendeza sana.
“Lilimtoka tu sijui mwenye kalitoa wapi, Bob Junior akaniambia lakini hili jina limekaa kinyamwezi, nikamwambia naliona limekaa vizuri, tukawa tunapenda kulitumia kwa sababu lina swagger,” amesema Hakeem 5.

0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top