Thursday, 6 July 2017

Chid Benz kumtaka Chin Bees abadilishe Jina lake

Baada ya Chid Benz kumtaka msanii Chin Bees abadili jina lake kwa kuwa limefanana na lake, Chin Bees kamjibu kuhusu kauli hiyo



Chin Bees," Jina langu halifanani nala Chid Benz, Hivi karibuni chid aliskika akifanya mahojiano na Planet Bongo ya East africa redio na kumtaka Chin Bees abadilishe jina lake kwasababu majina yao yana Fanana.

Chin Bees amejibu kuhusiana na swala lakugombania majina sahvi mininafanya mziki wangu na pia kama lingekuwa linafanana na lake wa Tanzania wangeshaongea asa mimi sijawahi kukutana na hiyo comments misiwezi kubadili jina braza ansamehetu," Alisema Chin Bees 

Chin Bees aliongezea na kuelewesha maana ya Bees nikidevu na hiyo ndio halisia ya jina la Chin Bees.

1 comment:

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top