Nassbu Abdull-Diamond Platnumz alizindua bidhaa yake mpya ila kabla yakuitambulisha kwanza aliwashukuru watanzania kwakuipokea vizuri CHIBU PERFUME nakusema japokuwa kunabaadhi yawatu wanashindwa kuinunua ila sio mdamrefu CHIBU PERFUME itapatikana kwaujazo mdogo.
Diamond Platnumz amezindua karanga zake tareh 29, 2017 nakusema zitakuwa zinapatikana nchinzima kwa sh.300 na zinakuwa zimeshaandaliwa kwenye paket kabisa, nakusema kutengeneza thamani siotu kwawauzakaranga ata kwawakulima wa zaolakaranga ii itasaidia kuongezeka kwa kilimo cha karanga Diamond alisema kama Mh.Raisi ameshasema Tanzania ni yaviwanda hivyo kiwandachetu tunatengenezea hapa hapa Tanzania aliwaomba watanzania waendelee kumsaport kwani wakispotiana yeye atapata rizki na yeye atawaajiri vijana wenzake. Alisema Diamond Platnumz C.E.O. wa W.C.B


0 comments:
Post a Comment