Saturday, 1 July 2017

Lionel Messi amefunga ndoa ya kifahari na mpenzi wake wa utotoni.

Nyota wa timu ya Barcelona, Lionel Messi amefunga ndoa ya kifahari na mpenzi wake wa utotoni Antonella Roccuzzo ambaye pia ni mzazi mwenzake wa watoto wawili.



Ndoa hiyo imefungwa huko Rosario City nchini Argentina nakuhudhuriwa na mastaa kibao wa soka kama kina Xavi, Carles Puyol, Cesc Fabregas, Samuel Eto'o, Luis Suarez, Jordi Alba na Sergio Busquets.
Wanasoka wengine walioudhuria harusi hiyo ni  Sergio Agüero, Ezequel Lavezzi, Javier Mascherano na Angel Di Maria.





0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top