Saturday, 8 July 2017

EXERCISE BALL CRUNCH

Ikiwa ni kawaida yangu kuku fahamisha(kuku fundisha) ni namna gani tuna weza kuepuka KITAMBI(NYAMA UZEMBE) ni vizuri ukiwa unafatilia haya na kuongeza bidii ili kuepuka maradhi ya nayo sababishwa na wingi wa mafuta mwilini, Ikiwa bado tupo kwenye zoezi la kupunguza tumbo SIX PACKS nivizuri ukalijiua hili kuwa Sio rahisi kupata six packs kwani inahitaji nidhamu ya hali ya juu na uvimilivu na subira.
Tukiwa tuna endelea kupiga vita Kitambi leo nakusogezea hii M2WANG.

EXERCISE BALL CRUNCH
Katika zoezi hili mpira wa mazoezi ni lazima uwepo. Kufanya zoezi hili lala juu ya mpira huku sehemu ya chini ya mgongo ikiwa imeegama vizuri. Weka viganja vya mikono nyuma ya kichwa. Fanya zoezi hili seti 1-3 kwa kurudia mara 12-16.
Naaamini kama utakuwa umenifatilia tangu tulipo anza mwanzo kabisa mazoezi haya utakuwa umesha pata mafanikio makubwa sana katika mwiliwako na kama ndio leo una anza kufatilia basi bado hujachelewa chamsingi nikufatilia mazoezi ya nyuma na kuanza sasa ni kila Juma mosi na kuwa nakusogezea ni aina gani tunaweza kupiga vita(kuepuka) magonywa yanayo sababishwa na mafuta mwilini na magonjwa hayo sio lazima kwani yana hepukika chukua hatua anza sasa endelea kutembelea LAMBEGU.BLOGSPOT kwa habari nyingine zaidi nikutakie mafanikio mema katika upigaji vita wa NYAMA UZEMBE, KITAMBI

3 comments:

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top