Harmonize akiwa na mzungu wake.
Muimbai huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo, Birthday weekend hii
alishare picha mtandaoni akiwa na mrembo wake huyo akicheza pool table
mbele ya nyumba ya kifahari.
Moja kati ya picha hizo aliacha wazi uwanja wa kutuma komenti lakini
alivyoona komenti nyingi zimekuwa mbaya kwa mpenzi wake huyo aliamu
kuongeza kupost picha nyingine na kufunga sehemu ya kuweka komenti.
Mwezi mmoja uliopita muimbaji huyo alitoa taarifa kwamba mpenzi wake huyo kwa sasa ni mjamzito.


Aminia saaana dogo acha aleeee BATA
ReplyDelete