Je, mchezo wa Bahati Nasibu unajenga jamii ya vijana wasioweza kulitegemea jasho lao? Ni mchezo ulioshika kasi katika mataifa mengi barani Afrika, lakini ni wa bahati na sibu. Kijana anaweza kupata au anaweza kupoteza kila kitu.
Sport Pesa Millionaire SAMUEL ABISA.
Samuel Abisai alibahatika kushinda kitita cha billion mbili katika mchezo wa bahati nasibu wakutabiri mpira Samuel ansema alikua akicheza bahati na sibu kila weekend na marakadhaa alikuwa akishindwa ila haikuwa sababu yayeye kujutia(kukata tamaa) kwani alikuwa hatumii pesa za mahitaji. yake
kila weekend alikuwa akicheza mchezo huwo Abisai alitumia dolar mbili kwa kubashiri matokeo hayo ambayo yalibadili maisha yake .


0 comments:
Post a Comment