Sunday, 2 July 2017

William Nicholas Limo A.K.A Billnas Mzungu Mzee, Mfahamu alipotokea kimziki leo na La mbegu

William Nicholas Limo.
Billnas  mfahamu leo na mtuwako wanguvu La mbegu.

Billnas tangu alipo kuwa darasa la tatu (3) alikuwa akipenda mziki na kwakipindi hicho alikuwa akiwaangalia wasanii kama Dudu Baya,Albert Mangwair na Dully Sykes na kwakipindi hiko walikuwa wakifanya vizuri kwenye game ya BONGO FLEVA rapa huyo alikuwa akichukua baadhi ya nyimbo za Dully Sykes ambazo wanafunzi wenzake walikua hawazifahamu nakujifanya nyimbo hizo nizake. Safari yake yamiziki ili anza kuiva baada yakufika chuo rapa huyo alikutana namarafikizake wanaopenda muziki wakawa akishinda kufreestyle wenzake wakawa wakimsifu kwamba anaweza ila rapa huyo akuwahi kufkiria kama atakuja kuwa msanii ila baada ya marafiki zake kumsifu kuwa anaweza apo ndipo akaanza mzikki rasmi.

2012>>Ndio marayakwanza Billnas kuingia Sudio kwa C9 nangoma yake yakwanza alifanya na Rich Mavoko ila Billnas alisema ngoma yake na mavoko akumbuki ata iliishia wapi, Baada yahapo Billnas alikuwa na Mshakaji wakke Dule ambae alikuwa anafanya kazi kwenye redio siku wakiwana piga story na mskaji wake alimwambia kunamsanii anamtafuta amfanyie JINGO za kipindi chake charedio Billnas akamwambia tangazo unalohitaji ni la frrstyle Dule akamwambia tangazo akamwambia namna JINGO alivyokuwa anataka iwe Dule akamwambia mbona atawewe unaweza akkamchkkua na kumpelea kwa Messen akarikod jingo na akakendelea kupewa sifa na watu walokua wanamskia.

Billnas baada yakukutana na Messen akawa anaenda kwamesen kilasiku na akapata nafasi ya kufanya nyimbo na Barnaba na walifanya mpaka vidio nyimbo hiyo alio fanya na barnaba ilikuwa unaitwa dem gani ila haikufika redioni watu walokuwa wakiiskia nyimbo aloimba na Barnaba walikuwa waimsifu na kupenda wanachokifanya Billnas akaja kufanya Nyimbo na Nazizi ilikuwa inaitwa raha ambayo ilifanywa desember 4/2014 nakwenda kwenyeredio 2015 baada yaapo Billnas akato ligi Ndogo naapo ndio safari mziki ikawa imeiva.
Baada ya muda rapa huyo kuwa bize na masomo yake ya chuo billnas alitumiwa bit na mr t nakufanya ngoma yake ya CHAFU POZI baaada yakutoa chafu pozi ndio limfikisha juu zaidi alikuwa akipata simu nyingi za kolabo na akafanya na Dayna nyange KOMELA nayo ikawa kubwa kuanzia hapo Billnas akawa habarir nyingine.
.
Mpaka sasa Billnas ana nyimbo 4 nne Raha,Ligi ndogo,Chafu pozi na Mazoea.

0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top