Profesa Jay’ leo July 8, 2017 amefunga ndoa na mpenzi wake Grace DSM
Rapper na Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ‘Profesa Jay’ leo July 8, 2017 amefunga ndoa na mpenzi wake Grace DSM ambapo watu mbalimbali wakiwemo Wabunge walialikwa na baada ya ndoa walikaa kwa ajili ya picha za kumbukumbu.
Mtoto upo kamili gado. Aminia sana professor jay
ReplyDelete