Watu wasizoee tena kimbunga ni mtu wakuvamia bit za watu kimbunga ni mtu wa kudis watu wakati kimbunga anauwezo mkubwa.
Saivi inabidi tutengeneze pesa na jaribu kuwaonesha watu kitu kikubwa tofauti na wao walivyo kuwa wanafkiria mwanzo kitukikubwa kinalicho badilika kwa kimbunga nikwanzia mziki wangu," Alisema Kimbunga
KIMBUNGA ALIFUNGUKA NA KUTAJA WASANII ANAO WAKUBALI
1.WEUSI-kimbunga alisema mtu akifanya kitu kizuri lazima umuheshimu WEUSI wamefkisha muziki wa Hip Hop mbali na kumalizia na kusema kuwa anawakubali weusi
2.NIKIMBISHI- Namkubali niki mbishi sababu ni mjanja na ananjia nyingi
3.AY- Mziki wa AY hautreand sana lakini bado yupo miaka yote katika watu ambao na waelewa ni AY lakini bado yupo miaka yote

0 comments:
Post a Comment