TBT yaleo ni ambayo ili wakutanisha wasanii wanao fanya vizuri kwenye muziki wa BOGO FLEVA.
Kutoka kushoto AY, Alikiba, Rose Muhando, Diamond na Mwana FA
.
Alikiba wasanii hawa walikutana kwenye Project ya Airtelone8 wakiwa pamija na wasanii wengine ambao ni Mwana FA na AY waliojitokeza kuonesha support.
Nahizi ni Baadhi ya pich za Aiamond na Alikiba
Kutoka kushoto Alikiba, shabiki na Diamond
Kutoka kushoto Diamond, Alikiba na Berry Black



0 comments:
Post a Comment