Saturday, 8 July 2017

Tutawapata watoto ambao wapo tayari kwa kusoma na vilevile tuta wapata watoto ambao wapo tayari kwa kuzaa." Steve Nyerer

Nina muunga mkono Mh.Raisi kwenye swala hili la mimba, Namuunga Mkono  90%
Akiongea na Sammisagotv, Mchekeshaji muigizaji wa BONGO MOVE Steve Nyerere amemsifu mh.raisi kwa kuonyesha uwanaume wake unaposimama kiongozi yule mwenye sauti na mamlaka yakupaza kwasababu haiwezekani ukafanya vitu viwili kwa wakati mmoja maliza shule yako nenda kapate ujauzito hatuwezi kuzalisha vizazi tunavyo viitaji vynye elimu na tukitaka kuzalisha vizazi vyenye elemu inaitaji msimamo ndio kama hii sasa hivi tutawapata wototo wapo tayari kwa kusoma na tutawapata watoto wapo tayari kwa kuzaa hakuna mtu anaezalishwa bahati mbaya umezalishwa kwa kudhamiria," Alisema Steve
.
Nakumalizia nakusema nilazima tumuunge mkono Mh.Raisi hususani wazazi wakina mama wanaojua uchungu wa Pregnant

1 comment:

  1. Nsawa kabisa. Kwanza wtoto wakikewa wana tupa presha sanahaa hawa naata hawa wakiume inabidi wafikiriwe lakufanywamaaana ndio wana warubuni haw

    ReplyDelete

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top