Sina tamaa ya uwongozi sababu najuwa sifa za kuwa kiongozi nimekuwa kamanda wavijana(UVCCM) miaka kumi(10) nimekuwa, na muhamasishaji wa CHAMA CHA MAPINDUZI miaka kumi na tano(15) huwezi kuwa wewe unatimiza ndotozako kilasiku watanzania watakuchoka
Sio kwamba nimewaacha nikiwa ndani ya chama. Hapana nimewaacha vijana wenzangu nawao wapate nafasi na kutimiza ndoto zao nauwo ndio uwongozi, waache ili wakukumbuke" Mimi sasa hvi nina nafasi iikija Ubunge baada ya nitarudi tena kinondoni kunaujumbe wa neck nitarudi tena kigamboni kuna ujumbe wa almashauri kuu taifa nitarudi teana kugombea hiyo ndio naona nimefika kwenye lavel yangu."Alisema Steve.
Tuwaachie navijana safi san Steve
ReplyDelete