Wednesday, 13 September 2017

Haya ndio mambo matano ambayo huyafahamu kutoka kwa JUX

MAMBO MATANO AMBAYO HUYA FAHAMU KUTOKA KWA JUMA JUX.


1.Jux awezi kuwa na urafiki na mtu ambae anaongelea mambo ya watu na ambae hana kitu cha kufanya

2.Jux katika vitu anavyo vichukia ni kumwongelea mtu

3.Katika kitu watu wengi hawakifahamu kutoka kwa jux "Watu wengi hawafahamu kuwa jux haringi ni hilo2

4.Jina ambalo anapenda kama akijaaliwa kuja kuwa na mtoto basi ata mwita QARIM.

5.Kitu amabacho hakipendi akiwa STUDIO ni kurikodi wakati watu wakiwa wengi STUDIO.

Follow this link to join my WhatsApp group:https://chat.whatsapp.com/C546LFB7tVI9wujRFrTHo6
Kwa habar zote kubwa za siku siasa michezo na burudani na zile TBT za nguvu UNGANA NA BLOG YA LAMBEGU.BLOGSPOT.COM

0 comments:

Post a Comment

Copyright © MOtown TV | Designed With By Blogger Templates
Scroll To Top