Baada ya kushtakiwa na mpiga picha aliyepiga picha ya Tupac, kampuni ya Kendall sasa inashtakiwa na Al Pereira, aliyepiga picha ya ‘Pac, Big, na Redman iliyotumika kwenye t-shirt hizo.
Pereira anadai kuwa Jenner hakuwa na haki ya kutumia picha hiyo kwenye T-shirt hizo ambazo zimewekwa pia picha yake. Kwenye picha ya Jenner sura ya Redman imetolewa na ilipigwa jijini New York, ouly 23, 1993.T-shirts hizo zimegubikwa na utata tangu zitoke ambapo mama yake Biggie, Voletta Wallace, aliwachana na Kendall na Kylie mwezi June kwa kuwaambia:
Nguo hizo zilizokuwa zinauzwa kwa $125 ziliondolewa kwenye maduka ya mtandaoni.
Kylie na Kendall waliomba radhi kwa kusema:
We are huge fans of their music and it was not our intention to disrespect these cultural icons in anyway. The tee shirts have been pulled from retail and all images have been removed. We will use this as an opportunity to learn from these mistakes and again, we are very sorry

0 comments:
Post a Comment